Usisome Kozi ya Afya kwa Kubahatisha — Okoa Muda na Pesa Leo!
Pata ramani sahihi ya soko la ajira na udahili wa vyuo kutoka kwa mtaalamu aliyebobea.
Gharama ya Ushauri:
TSh. 50,000/=
pata ushauri sasa
Kwanini Unahitaji Ushauri?
Wazazi na wanafunzi wengi huchagua kozi kwa mazoea au shinikizo la marafiki. Hii hupelekea kuhitimu na kukaa mtaani bila ajira kwa miaka mingi.
Bima ya Uwekezaji
Okoa mamilioni unayolipa kama ada kwa kusomea kozi yenye uhitaji sokoni.
Uhakika wa Udahili
Pata mwongozo kulingana na GPA yako ili usikataliwe na mifumo ya TCU au NACTE.
Okoa Muda
Usipoteze miaka 3-5 kusomea kozi ambayo haina mwelekeo wa ubingwa au ajira.
Ramani ya Ubingwa
Jua mapema njia rahisi ya kufika kwenye ubingwa (specialization) baada ya masomo.
Soko la Kisasa
Fahamu jinsi ya kutumia teknolojia na afya ya kidijitali ili kujiongezea thamani sokoni.
Maswali ya Mara kwa Mara
Nitalipiaje hii 50,000/=?
Baada ya kubonyeza kitufe, utatumiwa namba ya malipo (M-Pesa/Airtel Money). Ukishalipia, utapangiwa ratiba ya mazungumzo na Dr. Adinan.
Ushauri unafanyika wapi?
Ushauri unafanyika kwa njia ya simu au video call (WhatsApp/Zoom/Google Meet) kulingana na upendeleo wako.