Kuchagua kozi nzuri kwenye vyuo bora vya afya ni hatua muhimu kuelekea maisha bora. Hata hivyo, unahitaji uelewa wa kina wa fani hii ili kufanya maamuzi sahihi kwa wakati unaofaa.
Njia pekee ya kupata uelewa huo ni kwa kushauriwa na wataalamu. Hivyo, hujakosea kutaka ushauri kutoka kwa Dr. Adinan, mkufunzi na mshauri wa wanafunzi wa kozi za afya kwa zaidi ya miaka 10!
Madhara ya kutokupata ushauri wa kitaalamu
Bila ushauri wa kitaalamu, kwasababu hufahamu unaweza kukosea kukosea kuchagua chuo, kozi au kukosea kufanya maombi.
Kwanini Utuchague
Kusaidia wanafunzi ni furaha yetu. Tunaamini tukikusaidia utakuwa mtaalamu bora wa kutuhudumia siku zijazo
Pata ushauri Sasa kwa TSh. 9,900/-
Weka appointment sasa!
- Chagua Tarehe: Baada ya kufungua link ya booking, utaona kalenda ya tarehe. Tafadhali chagua tarehe inayokufaa kwa miadi yako.
- Chagua Muda: Baada ya kuchagua tarehe, utaona orodha ya muda ambao Dr. Adinan yupo tayari. Tafadhali chagua muda unaokufaa zaidi.
- Thibitisha Taarifa: Kagua tena tarehe na muda uliyochagua ili kuhakikisha kuwa kila kitu ni sahihi.
- Pokea Uthibitisho: Baada ya kuthibitisha, utapokea uthibitisho wa miadi yako kupitia SMS au email, ikithibitisha tarehe na muda wa miadi yako na Dr. Adinan.
- Fanya Malipo: Ili kukamilisha miadi yako, tafadhali lipia kiasi cha TZS 9,900.
Ikiwa una maswali zaidi au unahitaji msaada, usisite kuwasiliana nasi. Tunakutakia miadi yenye mafanikio na afya njema!