Usisome Kozi ya Afya kwa Kubahatisha — Okoa Muda na Pesa Leo!

Pata ramani sahihi ya soko la ajira na udahili vya vyuo kutoka kwa mtaalamu aliyebobea.

Gharama ya Ushauri:

TSh. 50,000/=


pata ushauri sasa

Kwanini Unahitaji Ushauri?

Wazazi na wanafunzi wengi huchagua kozi kwa mazoea au shinikizo la marafiki. Hii hupelekea kuhitimu na kukaa mtaani bila ajira kwa miaka miingi.

✓

Bima ya Uwekezaji

Okoa mamilioni unayolipa kama ada kwa kusomea kozi yenye uhitaji sokoni.

✓

Uhakika wa Udahili

Pata mwongozo kulingana na GPA yako ili usikataliwe na mifumo ya TCU au NACTE.

Medical Consultation

Hatua 3 za Uhakika za Kupata Chuo 2026

1

Je, nina Vigezo?

Usipoteze ada ya maombi. Angalia kama ufaulu wako unaruhusu kusoma kozi unayoipenda kulingana na muongozo wa NACTVET.

Angalia Vigezo Hapa →
2

Fahamu Vyuo

Pata orodha ya vyuo vilivyopo mikoa mbalimbali (mfano Mtwara) ambavyo vimesajiliwa na vina sifa bora za kufundishia.

Orodha ya Vyuo →
3

Chagua Kozi & Chuo

Jifunze mbinu za kitaalamu za kuchagua chuo kitakachokuhakikishia ajira na uzoefu bora wa mafunzo ya vitendo.

Mbinu za Kuchagua →

Maswali ya Mara kwa Mara

Nitalipiaje hii 50,000/=? +
Baada ya kubonyeza kitufe, utatumiwa namba ya malipo (M-Pesa/Airtel Money). Ukishalipia, utapangiwa ratiba ya mazungumzo na Dr. Adinan.
Ushauri unafanyika wapi? +
Ushauri unafanyika kwa njia ya simu au video call (WhatsApp/Zoom/Google Meet) kulingana na upendeleo wako.
error: Content is protected !!
Scroll to Top