High Quality
From experienced medical doctor and trainer
Warranty
Mpaka Umalize Chuo
From experienced medical doctor and trainer
Mpaka Umalize Chuo

Kipimo cha presha

Kipimo cha mapigo ya moyo

Kipimo cha reflex au Reflex hammer

Kipimo joto cha glass na digitali

Kipimo cha urefu, upana na mzunguko

Tochi maalum ya kitabibu

Miwani itakulinda macho yasirukiwe na damu wakati wa upasuaji

Kipima pembe cha viungo. Hutumika na physiotherapia

Huna hofu mpaka umalize chuo!
“Stethoscope yangu ilipokuwa haifanyi kazi kama nilivyotegemea, AFYAColleges walinibadilishia ndani ya saa 24”
Joachim Malle, Student CO