Msimu wa Udahili 2026
Mwongozo wa Uhakika wa Vyuo vya Afya na Kozi Tanzania
Ushauri wa kitaalamu, sifa za kujiunga na msaada wa maombi ya chuo kutoka kwa Dr. Adinan kupitia CollegePlan.
Chagua Njia Yako ya Masomo
🚀
Kwanini Uamini AFYAColleges na CollegePlan?
Tumewafikia na kuwasaidia wanafunzi zaidi ya 4,000 nchini kote kupata uelewa wa masomo ya afya. Kupitia miongozo na ushauri wetu, tumefanikiwa kuwaongoza kwa usahihi wanafunzi 598 kupata vyuo na kozi zinazovutia na kuwafaa kikamilifu.
4,000+
Waliosaidiliwa
598
Walioingia Chuo
98%
Kiwango cha Mafile
Mchanganuo wa Haraka wa Kozi Maarufu
Sogeza kushoto/kulia kuona sifa kamili za sifa za vigezo vya NACTVET.
| Kozi ya Afya | Vigezo vya Kujiunga (CSEE) | Kadirio la Ada (Tsh) |
|---|---|---|
| Clinical Medicine | Alama D ya Bio, Chem, Phys na somo 1 lingine. | 900,000 – 1,200,000 |
| Nursing & Midwifery | Alama D ya Bio, Chem, Phys na somo 1 lingine. | 900,000 – 1,500,000 |
| Pharmacy Sciences | Alama D ya Bio, Chem, Phys na somo 1 lingine. | 1,000,000 – 1,500,000 |