Usikubali Kupoteza Mamilioni ya Pesa kwa Kukosa Sifa!
Kila mwaka, maelfu ya wanafunzi wanakataliwa na vyuo au kupangiwa kozi wasizozijua. Usianze safari yako kwa kubahatisha. Pata ushauri wa Dr. Adinan sasa.
Dr. Adinan
Mkufunzi wa Vyuo vya Afya (Miaka 13+)
Video: Maoni Vs Ushauri wa Kitaalamu
Hatua 3 za Uhakika za Kupata Chuo 2026
Je, nina Vigezo?
Usipoteze ada ya maombi. Angalia kama ufaulu wako unaruhusu kusoma kozi unayoipenda kulingana na muongozo wa NACTVET.
Angalia Vigezo Hapa →Fahamu Vyuo
Pata orodha ya vyuo vilivyopo mikoa mbalimbali (mfano Mtwara) ambavyo vimesajiliwa na vina sifa bora za kufundishia.
Orodha ya Vyuo →Chagua Kozi & Chuo
Jifunze mbinu za kitaalamu za kuchagua chuo kitakachokuhakikishia ajira na uzoefu bora wa mafunzo ya vitendo.
Mbinu za Kuchagua →Je, unahitaji msaada wa moja kwa moja?
Jaza fomu hii na Dr. Adinan atapitia sifa zako na kukushauri chuo sahihi ndani ya saa 24.
Jaza Fomu: Pata Msaada wa Chuo* Huduma hii ni kwa ajili ya udahili wa Machi & Septemba 2026
