Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Littmann Stethoscope Classic III
Sh170,000.0
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Tambua magonjwa ya moyo kama daktari bingwa unapotumia Littmann Stethoscope Classic III. Unapokuwa na Littmann Stethoscope Classic III utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kwakuwa imeboreshwa kuweza kung’amua sauti ambazo zitakufanya kugundua haraka aina za sauti ambazo ni ngumu kuzisikia unapotumia stethoscope zingine.
𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Availability: 5 in stock
Related products
Pediatrics Stethoscopes Littmann Classic II
Sh90,000.0Patella Hammer – Queen Light
Sh18,000.0Otoscope
Sh100,000.0Goniometer
Sh24,900.0
Reviews
There are no reviews yet.