Utangulizi
Umuhimu wa vifaatiba vya mafunzo kwa wanafunzi wa kozi za afya ni uti wa mgongo kwenye mafunzo na uweledi. Ukiwa na vifaa kamili na bora utaweza kujifunza kwa vitendo na kufanya mazoezi ya kumpima mgonjwa wako wakati wowote unapopata fursa. Wanafunzi wamekuwa wakipata changamoto ya kujua namna ya kupata vifaatiba bora. Jipatie vifaatiba bora vyenye warranty mpaka umalize chuo.
Vipengele Muhimu vya Starter Medical Set
Starter Medical Set ni seti yetu yenye vifaa 7 muhimu kwa mafunzo ya uuguzi na clinical medicine. Vifaa hivi na matumizi yake ni kama ifuatavyo:
1. BP Machine – kupimia shinikizo la damu
2. Stethoscope – mapigo ya moyo
3. Thermometer – joto la mwili
4. Tape Measure – kipimo cha urefu
5. Theatre Goggles – kulinda macho yako
6. Patella Hammer – kupima reflexes
7. Pen Torch – kupima mfumo wa fahamu
Faida za Kununua Kwa Wetu
Kununua vifaatiba vyetu kunakuja na faida nyingi, kama vile:
– Hakuna hofu ya kutapeliwa
– Warranty mpaka umalize shule (miaka 3)
– Unanunua kutoka kwa wahudumu wa afya wenzako wenye uzoefu wa kutosha
– Ushauri bure na huduma bora hata baada ya kununua