Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Professional Cardiology Stethoscopes
Sh58,000.0
๐ ๐๐ข๐๐: Tambua magonjwa ya moyo kama daktari bingwa unapotumia Professional Cardiology Stethoscopes. Unapokuwa na Professional Cardiology Stethoscopes utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kwakuwa imeboreshwa kuweza kungโamua sauti ambazo zitakufanya kugundua haraka aina za sauti ambazo ni ngumu kuzisikia unapotumia stethoscope zingine.
๐๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ณ๐ข: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
๐ ๐๐ข๐๐ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฎ๐ญ๐๐ค๐๐ฉ๐จ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
๐๐๐ฆ๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐: Tutakushauri namna ya kutumia kabla na baada ya manunuzi
Related products
Professional Delux Stethoscope
Sh60,000.0Otoscope
Sh100,000.0Tripple-head Stethoscope
Sh80,000.0Pediatrics Stethoscopes Littmann Classic II
Sh90,000.0
Reviews
There are no reviews yet.