Medical Tapes, Vifaa vya mafunzo kozi za afya
Torniquet
TZs7,000.0
Ongeza ufanisi na umaridadi katika kazi yako. Mtoe mgonjwa wako damu ya kipimo kwa kutumia torniquet yenye ubora. Kifaa hichi kilichotengenezwa kwa elastic imara chenye kudumu kwa muda mrefu kitakuwezesha kufikia lengo lako la kupata sampuli mahususi.
Matumizi: Kifaa hichi ni kwa matumizi ya hospitali na ni kifaa muhimu kwa wanafunzi wa kozi za afya.
Availability: 446 in stock
Categories: Medical Tapes, Vifaa vya mafunzo kozi za afya
Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.







Reviews
There are no reviews yet.