Ushauri
Anza Vizuri. Maliza Vizuri
Kuwa Bora
Niko hapa kukushauri kuhusu taaluma ya afya. Lengo ni kukuchukua kuanzia mwanzo wa kutengeneza interest ya kusoma Kozi za Afya. Kukuongoza kuomba na kupata chuo bora.
Ukipata chuo hatutokuacha, nitakuwa nawe kukupa dondoo ya jinsi ya kujiandaa kuanza masomo yako. Na kisha nitaendeleza mafunzo pale unapokuwa chuoni. Nitakusaidia kukuelekeza na kutatua changamoto
Anayependa kusoma kozi za afya
Fahamu aina mbalimbali za kozi za afya pamoja na sifa za kujiunga. Fahamu kazi wanazofanya wahudumu wa afya na fursa baada ya mafunzo.
Maombi chuo cha afya
Kupitia makala hizi mwanafunzi mtarajiwa, mzazi au mlezi sifa za kujiunga kozi za afya pamoja na namna ya kuchagua vyuo bora
Kwa anayejiunga na Kozi za Afya
Kupitia makala hizi mwanafunzi mtarajiwa atafahamu mambo muhimu kuhusu kujiandaa ikiwamo vifaa muhimu vya mafunzo, namna ya kuanza chuo na kuishi chuoni na mengine mengi
Mwanafunzi aliyeko chuo
Kuwa bora. Pata vifaatiba, vitabu na notes. Fahamu namna ya kuishi chuoni na kufanya vizuri kwenye masomo yako yote pamoja na kugundua, kutafuta na kukamata fursa mbalimbali ukiwa chuoni