fbpx

Fanikiwa Maombi ya Chuo

Tunasaidia wanaotaka kufikia ndoto zao kwenye fani za afya kwa kutoa ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu.

Dr. Adinan Mshauri kuhusu kozi za afya na vyuo vya afya

Kuchagua kozi nzuri kwenye vyuo bora vya afya ni hatua muhimu kuelekea maisha bora. Hata hivyo, unahitaji uelewa wa kina wa fani hii ili kufanya maamuzi sahihi kwa wakati unaofaa.

Njia pekee ya kupata uelewa huo ni kwa kushauriwa na wataalamu. Hivyo, hujakosea kutaka ushauri kutoka kwa Dr. Adinan, mkufunzi na mshauri wa wanafunzi wa kozi za afya kwa zaidi ya miaka 10!

Madhara ya kutokupata ushauri wa kitaalamu

Bila ushauri wa kitaalamu, kwasababu hufahamu unaweza kukosea kukosea kuchagua chuo, kozi au kukosea kufanya maombi.

Kupoteza mwaka mzima nyumbani
Kupoteza pesa kwa kutaka kubadilisha Chuo
Kupoteza pesa kwa kubadilisha kozi

Huduma Zetu na Bei Zake

Ushauri wa Kitaalamu

Pata majibu ya uhakika kutoka kwa wataalamu wa afya wenye uzoefu zaidi ya miaka 10.

Kuondoa Hofu na Wasiwasi

Jifunze kutoka kwa wenzako waliopitia changamoto kama zako kupitia jukwaa letu la kipekee la WhatsApp.

Kuokoa Muda na Fedha

Acha kupoteza muda mtandaoni. Pata ushauri sahihi na wa kitaalamu moja kwa moja.

Kwanini Utuchague

Kusaidia wanafunzi ni furaha yetu. Tunaamini tukikusaidia utakuwa mtaalamu bora wa kutuhudumia siku zijazo

Uzoefu

Ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10.

Mafanikio

Tumewezesha wanafunzi zaidi ya 300 kufikia ndoto zao za kitaaluma.

Ufanisi

Tunakuokolea muda na fedha kwa kutoa ushauri wa uhakika

Jiunge Na Fahamu Plan Kwa TSh. 9,000/-

00Hrs
00Min.
00Secs
Shopping Basket