Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Fetoscope, Vifaa vya mafunzo kozi za afya
Fetoscope: Pinard Stethoscope
TZs19,000.0
Fetoscope ni kifaa kinachotumika kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto kabla hajazaliwa. Kifaa hiki hutumika na watoa huduma za afya kufahamu hali ya mtoto akiwa tumboni.
Matumizi: Kifaa hiki ni muhimu kwa mafunzo kwa wanaosomea masomo ya udaktari, uuguzi na ukunga pamoja na watumishi wa afya ya jamii.
Aina: Kifaa hiki hupatikana katika hali ya mbao au plastiki. Vyote hufanya kazi sawa.
Availability: 271 in stock
Categories: Fetoscope, Vifaa vya mafunzo kozi za afya







Reviews
There are no reviews yet.