fbpx

MUAC Tape

Sh10,000.0

Changamoto: Umekuwa ukijitahidi kumlisha mwanao chakula unachoamini ni KIZURI kwa afya yake. Lakini hujui hali yake ya lishe.  Wakati mwengine umeambiwa na wataalamu wa Afya kwamba mtoto wako ana utapiamlo! Utapia mlo ni tatizo kubwa la kiafya kama halitarekebishwa mapema. 

Kifaa: MUAC ni kipimo cha kutathmini hali ya lishe. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro)

Faida: Kitakusaidia kutambua hali ya lishe ya mwanao kwa haraka na kuchukua hatua stahili. Kwa maelekezo mafupi, utaweza kukitumia kipimo hiki ukiwa nyumbani hata kama huna utaalamu wa masuala ya Afya.

Namna ya kutumia: Inapimwa kwa mkono wa kushoto moja kwa moja, katikati katikati ya ncha ya bega na ncha ya kiwiko. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro) na vile vile wanawake wajawazito.

Tutakufahamisha zaidi namna ya kutafsiri kipimo hichi unaponunua.

Availability: 700 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket