fbpx

Patella Hammer – Queen heavy

Sh24,900.0

Patella Hammer – Queen heavy ni kifaa kinachotumiwa kupima mfumo wa mishipa ya fahamu. Unapokuwa na Queen heavy patella hammer utaweza kupima mishipa ya fahamu kwa kutumia nguvu kidogo kugonga. Kwasababu Queen light patella hammer ina uzito stahiki, ndefu na ina nesa.

Matumizi: Patella hammer ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya. Faida Unayopata utakaponunua kwetu ni kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Availability: 188 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket