fbpx

Kalenda ya mimba-Pregnancy wheel

Sh15,000.0

Kifaa: Kalenda ya mimba (Pregnancy calendar) ni kipimo kifaa kitakachokuwezesha kukadiria siku zako muhimu katika ujauzito.
Faida: Kalenda ya mimba itakuwezesha kukadiria umri wa mimba na siku ya kujifungua. Hivi ni vitu muhimu kujua kwani vitakuwwezesha kupanga kuhusu huduma za kiafya kadri inavyohitajika kwa afya ya mwanao na yako. Kujipanga mapema kutakusaidia kuepuka madhara yanayojitokeza kama utakurupushwa na uchungu
Changamoto: Baadhi ya wajawazito hawafahamu umri wa mimba zao na hata makadirio ya tarehe ya kujifungua. Usikurupushwe na uchungu wakati hukujiandaa. Jiandae kwa kila kitu kuhusu mimba yako. Kuilinda afya ya mwanao na yako inabidi ujipange kuanzia mwanzo. Fhamau hatua, ukuaji na tarehe ya makadirio ya kujifungua ili ujipange. Kama hufahamu namna ya kukadiria tarehe yako ya ujauzito na ile ya kujifungua sasa tumekuletea kifaa kitakachokuwezesha kufanya hivi kwa haraka, mwenyewe na ukiwa nyumbani.
Namna ya kutumia: Tutakufahamisha zaidi namna ya kutafsiri kipimo hichi unaponunua. Utatumia kifaa hichi kukadiria tarehe zako muhimu za uja uzito. Utakadiria lini uko kwenye danger zone – kitakuwezesha kufahamu siku zako za hatari na hivyo kujikinga na mimba zisizotarajiwa.

Availability: 847 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket