fbpx

Goniometer

Sh24,900.0

Goniometer ni Kifaa muhimu kwa wanafunzi fani ya Physiotherapy na physiotherapist

Changamoto: Mwanafunzi wa physiotherapy unayehitaji vifaa bora kwa mafunzo yako? Tena vyenye warranty mpaka umalize chuo? Tena kwa bei nafuu bila kuathiri ubora? Leo tunakupatia BP Machine yenye Stethoscope kwa ajili ya mafunzo yako na kutoa huduma kwa wagonjwa wako.

Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Bei nafuu. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Availability: 443 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.