Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Pediatrics Stethoscopes Littmann Classic II
Sh90,000.0
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Toa huduma bora kwa mtoto kwa kutumia Pediatrics Stethoscopes Littmann Classic II. Unapokuwa na Pediatric Littmann Stethoscopes utasikia utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kwakuwa imeboreshwa kuweza kung’amua sauti hata kama ni za chini sana.
𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia:
𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Availability: 45 in stock
Related products
Patella Hammer – Queen heavy
Sh24,900.0Aneroid BP Machine
Sh45,000.0Tuning Fork 512HZ Aluminium
Sh25,000.0Kalenda ya mimba-Pregnancy wheel
Sh15,000.0
Reviews
There are no reviews yet.