fbpx

Sprague Stethoscope with Watch

Sh40,000.0

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Toa huduma bora kwa mteja wako unapotumia Sprague Stethoscope with Watch (yenye saa). Unapokuwa na professional Stethoscopes utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi.

Sprague Stethoscope zinakidhi vigezo vyote vya kutumika katika kujifunzia na kumhudumia mgonjwa. Sprague stethoscope imeboreshwa kwa kuwekewa bomba mbili kuongeza ung’amuaji wa sauti zitolewazo na aina tofauti ya magonjwa. PIa, imewekewa saa kukurahisishia kuhesabu kasi ya mapigo ya moyo kwa dakika.

𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia:

Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Availability: 17 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

You may also like…