Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Tuning Fork 512HZ Steel
Sh19,000.0
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Mpime mgonjwa wako mishipa ya fahamu kwa ukamilifu unapotumia tuningfork. Unapokuwa na Tuning fork utaweza kupima ukamilifu wa mishipa ya fahamu na viungo vingine vya mwili kwa kutumia mitetemo na sauti. Kwa mfano utaweza kupima kama mteja wako anasikia vizuri, na anahisi vizuri kwenye miguu nk.
𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Tuning fork utaweza kupima ukamilifu wa mishipa ya fahamu na viungo vingine vya mwili kwa kutumia mitetemo na sauri. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Availability: 223 in stock
Related products
Aneroid BP Machine
Sh65,000.0Monofilament
Sh19,900.0Stethoscope Litman Classic II
Sh130,000.0Torniquet
Sh7,000.0
Reviews
There are no reviews yet.