fbpx

Medical Set for Nursing Students

Sh95,500.0

Tunapenda kukufahamisha offer yetu ambapo utapata vifaa vyote hivi kwa TSh. 89.000/=

WEKA ODA SASA! 

Vifaa hivi ni: 1-BP Machine; 2-Stethoscope; 3-Thermometer; 4-Tape measure; 5-Torniquet; na 6-Pregnancy wheel

Kazi yako kama muuguzi itakuwa ni kumpa huduma mteja (Mgonjwa) ikiwamo kumfanyia vipimo kama cha presha ya damu, joto, ukuaji wa mimba, kufahamu tarehe ya ujauzito, na hata kuzalisha wajawazito. Hivyo, kwa mtiririko huohuo, utahitaji kipimo cha presha na kipimo cha kusikiliza mapigo ya moyo, kipima joto, gestation wheel kukadiria uja uzito na ukuaji wa mimba, na vifaa vitakavyoweza kukusaidia kujikinga wakati unazalisha wajawazito. Pia utahitaji tochi na kifaa kinachosaidia katika kuchukua vipimo vya damu.

Devices: Starter medical set is a 6-item medical set.

Use: These items will enable you to measure Blood Pressure, Heart quality of heartbeats, eye reflexes, temperatures, and protect your eyes from accidental infection or injuries during surgical procedures.

For who: The set is suitable for Clinical Officer, Clinical Assistant, Nursing students and practitioners. The set is recommended in colleges guided by NACTE.

Benefits: The set has a warranty of 3 years!

Items are

  1. BP Machine,
  2. Pregnancy wheel,
  3. Torniquet
  4. Stethoscope,
  5. Tape measure,
  6. Thermometer, Non mercury

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket