fbpx

Obstetrics Set

Sh109,000.0

𝗨𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 : Vifaatiba vya mafunzo kwa wanafunzi wa kozi za afya ni uti wa mgongo kwenye mafunzo na uweledi. Kwani ukiwa na vifaa kamili na bora utaweza kujifunza kwa vitendo. Utaweza kufanya mazoezi ya kumpima mgonjwa wako wakati wowote unapopata fursa. Wanafunzi wamekuwa wakipata changamoto ya kufahamu namna ya kupata vifaatiba bora. Jipatie vifaatiba bora vyenye warranty mpaka umalize chuo.

𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: vifaa hivi na matumizi yake ni kama ifuatavyo

1-BP Machine – kupimia Shinikizo la Damu,
2-Stethoscope – Mapigo ya Moyo;
3-Thermometer – joto la mwili,
4-Tape measure- kipimo cha urefu;
5-Theatre goggles – kulinda macho yako dhidi ya kurukiwa na damu wakati wa upasuaji au uzalishaji
6-Patella hammer na
7-Pregnancy calendar – kupima na kufahamu tarehe ya kuzaliwa

Kozi Gani: Hivi ni vifaa muhimu kwa mwanafunzi wa kozi za Uuguzi-Nursing na clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢

  1. Kutokuwa na hofu ya kutapeliwa,
  2. Warranty mpaka umalize shule – miaka 3
  3. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya.
  4. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket