fbpx

Nursing – AFYATech set

Sh176,000.0

Tunapenda kukufahamisha offer yetu ambapo utapata vifaa vyote hivi kwa TSh. 81.000/=

WEKA ODA SASA! 

Vifaa hivi ni:

 1. BP Machine: Kipimo cha presha
 2. Stethoscope: Kipimo cha mapigo ya moyo
 3. Thermometer: Kipimo cha joto
 4. Tape measure: Kipimo cha kima au upana
 5. Pen torch: tochi ndogo ya kupimia
 6. Torniquet: Kifaa kinachorahisisha kuona mishipa wakati wa kuchukua damu
 7. Pregnancy wheel: Kifaa kinachotumika kukadiria tarehe ya kujifungua na umri wa mimba
 8. Theatre goggles: miwani ya kukuzuia damu isiingie machoni wakati wa operesheni au wa kuzalisha
 9. MUAC tape: kifaa kinachotumika kupima hali ya lishe ya mtoto
 10. Fetoscope pinard: kifaa cha kusikiliza mapigo ya mtoto kabla hajazaliwa
 11. Saa ya unesi- hichi si kipimo, ni zawadi kutoka AFYATech

Devices: Starter medical set is a 10-item medical set.

Use: These items will enable you to measure Blood Pressure, Heart quality of heartbeats, eye reflexes, temperatures, and protect your eyes from accidental infection or injuries during surgical procedures.

For who: The set is suitable for Clinical Officer, Clinical Assistant, Nursing students and practitioners. The set is recommended in colleges guided by NACTE.

Benefits: The set has a warranty of 3 years!

Items are

 1. BP Machine,
 2. Pregnancy wheel,
 3. Tourniquet
 4. Stethoscope,
 5. Tape measure,
 6. Thermometer, Non mercury
 7. Theatre goggles
 8. MUAC tape
 9. Fetoscope pinard
 10. Pen torch
 11. Nurse watch

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket