Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Patella Hammer – Taylor
Sh15,000.0
Patella Hammer – Taylor ni kifaa kinachotumiwa kupima mfumo wa mishipa ya fahamu. Unapokuwa na Taylor patella hammer utaweza kupima mishipa ya mgonjwa wako haswa watoto bila kuingiza hofu ya maumivu. Kwasababu Taylor patella hammer ni ndogo, nyepesi na ina umbo lisilo ogopesha Matumizi:
Patella hammer ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
Faida Unayopata utakaponunua kwetu ni kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Availability: 308 in stock
You may also like…
Opthalmoscope
Sh150,000.0
Related products
Monofilament
Sh19,900.0Pen Torch
Sh10,000.0Stethoscope Litman Classic II
Sh130,000.0Kalenda ya mimba-Pregnancy wheel
Sh15,000.0
Reviews
There are no reviews yet.