fbpx

Stethoscope Litman Classic II

Sh130,000.0

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Toa huduma bora kwa mteja wako kwa kutumia Littman Stethoscope Classic II. Unapokuwa na Littmann Classic II Stethoscopes utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kwakuwa imeboreshwa kuweza kung’amua sauti hata kama ni za chini sana.

𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Availability: 35 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

You may also like…