fbpx

Patella Hammer – Tromner

Sh17,900.0

Patella Hammer – Tromner ni kifaa kinachotumiwa kupima mfumo wa mishipa ya fahamu. Unapokuwa na tromner patella hammer utaweza kufanya aina tatu (3) tofauti ya vipimo vya mfumo wa mishipa ya fahamu. Kwakuwa tromner patella hammer ina monofilament na ina nail zaidi ya hammer. Hii ni faida unayoipata kwenye aina hii ya patella hammer – tofauti na aina zingine za patella hammer. 

Matumizi: Patella hammer ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

Faida Unayopata utakaponunua kwetu ni kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Availability: 127 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.