Usaidizi na Ushauri
Kujiunga Group la kwanza ni bure. Unaingia na unauliza maswali kwenye group na nitakupatia majibu nitakapokuwa hewani au baada ya kumaliza kazi, lakini nitakujibu. bonyeza Jiunge #1.
Kama unahitaji ushauri mahususi kukuhusu wewe binafsi, mfano ufanye aina gani ya kozi, masomo uliyofauulu au kushauriwa kuhusu chuo bora, unahitaji kujiunga group la Pili. Hili ni group la watu wadadisi sana, na utaongea na Dr. Adinan moja kwa moja. Ikiwa huyu ni wewe bonyeza Jiunge #2.
Hatahivyo, utalipia TSh. 1,000/= kwa airtel money Namba hii 0783 552 959 na itakuja Juma Juma:
Jiunge Na Fahamu Plan Kwa TSh. 9,000/-
Fahamu yote ya muhimu kuhusu kozi za afya na vyuo vya afya. Jiunge nasi leo na tuanze safari yako ya mafanikio katika sekta ya afya!
Fanikiwa Maombi ya Vyuo
Fahamu kozi, vyuo, gharama na mambo muhimu kupitia muongozo wetu tunaokupatia bure kabisa!