Ushauri

green grass field with trees

Epuka Mtego wa Ukosefu wa Ajira: Mbinu za Kipekee kwa Wahitimu wa Afya

Leo tutajadili jinsi ya kuepuka changamoto za ukosefu wa ajira baada ya kuhitimu masomo ya kozi ya afya. Tunaelewa kuwa ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa katika jamii yetu na tunataka kukusaidia kuwa na mafanikio katika soko la ajira. Nimegawa mbinu hizi katika makundi mawili: kundi la kwanza ni mbinu unazoweza kuzifanya wakati uko chuoni,

Epuka Mtego wa Ukosefu wa Ajira: Mbinu za Kipekee kwa Wahitimu wa Afya Read More »

Rushwa ya Ngono Vyuo Vikuu: Je, Watoto wa Kike Hawajui Nguvu Waliyonayo?

Rushwa ya ngono katika vyuo vikuu imekuwa tatizo kubwa sana, na athari zake zinaweza kuharibu maisha ya wanafunzi na kuvuruga mazingira ya elimu. Katika makala hii, tutachunguza kwa kina kwanini rushwa ya ngono hutokea, athari zake, na jinsi ya kuikabili bila kutoa rushwa. Tunaamini kwamba elimu inapaswa kuwa salama na bila unyanyasaji wa aina yoyote, na ndio maana tunashiriki mikakati ya kuzuia rushwa ya ngono katika vyuo vikuu. Soma zaidi kujifunza jinsi ya kulinda haki zako na kujenga mazingira bora ya elimu.

Rushwa ya Ngono Vyuo Vikuu: Je, Watoto wa Kike Hawajui Nguvu Waliyonayo? Read More »

error: Content is protected !!
Scroll to Top