Orodha ya Vyuo vya Nursing Tanzania, Vigezo na Sifa za Kujiunga 2026

kozi ya uuguzi-nursing-sifa-vyuo-ada-mob-AFYAColleges

Fahamu vigezo vya kusoma (uuguzi) nursing ngazi ya certificate, diploma, na degree pamoja na ada za vyuo vya serikali na binafsi.

Je, unataka kufanya maombi ya kozi ya uuguzi lakini unakabiliwa na changamoto kwenye mchakato huo?

Tunaweza kukusaidia!

Unapojitayarisha kuingia katika fani hii, ni muhimu kuelewa kwa undani sifa zinazohitajika, fursa zilizopo, na mfumo wa vyuo vya nursing tanzania vinavyotoa mafunzo haya muhimu.

Kutafuta chuo cha nursing kinachotambulika na NACTVET au TCU ndio hatua ya kwanza ya mafanikio yako.

Katika mwongozo huu wa Dr. Adinan, utapata mchanganuo kamili wa sifa, vigezo, ada, na orodha ya vyuo vya serikali na binafsi.

🔗 Orodha Kamili: Angalia Vyuo vya Afya Tanzania na Tofauti Zake Hapa

⚠️ Usipoteze Muda na Pesa kwa Kubahatisha!

Kukwama kwenye kuchagua na kuomba chuo cha afya kunaweza kuharibu ndoto zako na kukugharimu pakubwa. Usiendelee kufanya makosa peke yako wakati unaweza kuepuka kufeli leo.

🚨 Okoa Safari Yako Sasa

Vigezo vya Kusoma Nursing na Sifa za Kujiunga (Certificate & Diploma)

Kabla ya kutuma maombi kwenye chuo chochote cha uuguzi, ni vyema kuhakikisha kuwa unakidhi vigezo vilivyowekwa na Wizara ya Afya pamoja na NACTVET. Kuna utofauti mkubwa kati ya sifa za cheti na stashahada.

1. Sifa za Kujiunga na Nursing Certificate (Astashahada)

  • Mwanafunzi anahitaji kuwa na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
  • Ufaulu wa Alama D ya masomo manne (4) yasiyo ya kidini.
  • Masomo hayo ni lazima yajumuishe: Biolojia, Kemia, na Fizikia/Sayansi ya Uhandisi. Somo la nne linaweza kuwa lolote (isipokuwa la Dini).
  • Kama una ufaulu wa Alama D au zaidi kwenye Hisabati (Mathematics) na Lugha ya Kiingereza, unajiongezea nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa.

2. Vigezo vya Kusoma Nursing ya Diploma (Stashahada)

Kwa ngazi ya Diploma ya Uuguzi ya moja kwa moja (Direct Entry), muombaji lazima awe na alama C au D katika masomo ya Sayansi (Biolojia, Kemia, Fizikia) kulingana na ushindani wa mwaka husika wa masomo.

Vigezo vya Kusoma Degree ya Nursing PDF / TCU Guide

Kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na ngazi ya Shahada (Bachelor of Science in Nursing), sifa zifuatazo ni lazima zizingatiwe kulingana na muongozo wa TCU:

  • Kutokea Kidato cha Sita (ACSEE Direct Entry): Muombaji lazima awe na Principal Pass mbili (2) katika masomo ya Biolojia na Kemia, zenye jumla ya pointi 4 au zaidi.
  • Kutokea Ngazi ya Diploma (Equivalent Entry): Awe na Diploma ya Uuguzi (NTA Level 6) yenye ufaulu wa G.P.A ya 3.0 au zaidi, na awe amesajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakufunzi (TNMC).

Pakua Vigezo vya Kusoma Degree ya Nursing PDF →

Orodha ya Vyuo vya Nursing vya Serikali na Elimu ya Juu

Hapa kuna mchanganuo wa vyuo vikuu vya umma na vyuo vya kati nchini Tanzania vinavyotoa kozi ya uuguzi.

Jina la ChuoMkoa / MahaliNgazi Zinazotolewa
MUHAS (Muhimbili University)Dar es SalaamDegree, Masters, PhD
UDOM (University of Dodoma)DodomaDegree, Masters
KCMUCollegeKilimanjaroDiploma, Degree
Mtwara COTCMtwaraCertificate, Diploma
Mbeya Medical Training CentreMbeyaCertificate, Diploma

Vyuo vya Nursing Dar es Salaam Courses Offered

Mkoa wa Dar es Salaam una ushindani mkubwa sana wa nafasi za masomo. Ukitafuta vyuo vya nursing dar es Salaam, utapata fursa ya kusoma kwenye taasisi zinazomilikiwa na serikali, taasisi za kidini, au watu binafsi.

Kozi zinazotolewa (Courses Offered) kwenye vituo hivi ni pamoja na Technician Certificate in Nursing (NTA Level 5) na Ordinary Diploma in Nursing (NTA Level 6) upande wa vyuo vya kati, na Bachelor of Science in Nursing kwa vyuo vikuu.

Angalia orodha kamili ya Vyuo vya Nursing Dar es Salaam →

Ada za Kozi ya Uuguzi na Vifaa vya Mafunzo nchini Tanzania

Gharama na ada ya kozi ya uuguzi hutofautiana sana kati ya vyuo vya serikali na vyuo binafsi. Kwa vyuo vya serikali, ada ya Diploma huanzia TSh. 700,000/= hadi 1,200,000/= kwa mwaka, wakati vyuo binafsi huanzia TSh. 1,200,000/= hadi 1,800,000/=. Ni vyema kuwasiliana na chuo husika kujua upatikanaji wa mikopo ya elimu.

Mbali na ada, mafunzo yanahitaji vifaa maalum ili kuhakikisha wanafunzi wanapata ujuzi wa vitendo. Baadhi ya vifaa vinavyotumika ni pamoja na vifaa vya upimaji wa afya, vifaa vya upasuaji (stitching/surgical kits), na mavazi maalum ya kujikinga na maambukizi.

💡 **Ushauri kutoka AFYAColleges:** Tuna vifaa vyote vya mafunzo ya afya na tunawapatia wanafunzi wote “warranty” ya uhakika mpaka wanamaliza masomo yao ya chuo.

🎓

Usibahatishe Mustakabali Wako!

Kuchagua chuo sahihi ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa daktari au nesi mwenye mafanikio. Fahamu vigezo muhimu vya kuzingatia ili usipoteze muda na gharama kwenye chuo kisichokidhi viwango.

FAHAMU JINSI YA KUCHAGUA CHUO BORA

⭐ Mwongozo huu umewasaidia zaidi ya wanafunzi 1,000 mwaka huu.

Je, Kozi ya Uuguzi Inalipa?

Kozi ya Uuguzi ni moja kati ya taaluma zenye fursa nzuri za ajira na ukuaji wa haraka wa kipato. Wataalamu wa uuguzi wanaweza kupata kazi hospitali za umma (serikalini) au za binafsi na kupata mishahara mizuri inayolingana na kiwango chao cha elimu.

Nursing Electives in Tanzania

Tanzania imekuwa kituo kikubwa cha programu za nursing electives tanzania kwa wanafunzi wa kimataifa. Hii inamaanisha ukisoma katika vyuo vyetu vikuu vya ndani, utapata fursa ya kubadilishana uzoefu na kufanya mazoezi ya vitendo (clinical rotations) na wataalamu kutoka mataifa mbalimbali duniani.

Usiandike Maombi Kimakosa 2026!

Kukosea kuchagua kozi kulingana na alama zako kunaweza kukukosesha chuo kabisa. Pakua ‘Mwongozo wa Udahili wa AFYAColleges’ kujua vyuo vyenye nafasi kwa sasa na jinsi ya kuomba bila

kukataliwa.Bofya Hapa Kupata Mwongozo Kamili Kwenye App →

Timiza Ndoto Yako ya Afya

Usihangaike peke yako. Pata msaada wa kitaalamu kutoka kwa Dr. Adinan ili ufanikiwe kupata chuo unachokitamani.

BONYEZA HAPA KUPATA MSAADA SASA

CollegePlan tuna plans tatu muhimu zitakazo kuwezesha kufanikisha maombi yako ya vyuo.

  1. Fahamu inakupa taarifa muhimu za kitaalamu kuhusu kozi na vyuo vya afya ili kukuwezesha kufahamu tofauti ya kozi hizi, sifa za vyuo bora, na kozi inayolipa wakati huu. Bila shaka umegundua hii ni msingi kama siyo lazima

  2. Fanya inakuwezesha kufanya maamuzi sahihi kuchagua vyuo na kozi kulingana na hali yako halisi. Lengo ni kukupa ushauri mahususi kwa mfano aina ya vyuo kulingana na mahitaji yako ikiwa una mahitaji maalum nk.

  3. Furahia itakuwezesha huduma zote hadi kuombewa vyuo na kupewa taarifa kuhusu ufadhili ndani na nje ya nchi

Nakushauri usitoke bila plan. Ukishindwa kabisa, chukua Fahamu Plan

Bonyeza Jiunge kuanza na Fahamu. Bonyeza Fahamu kufahamu huduma zetu zingine

error: Content is protected !!
Scroll to Top