fbpx
ujasiriamali vyuoni

Jikomboe kiuchumi: Uwazi wa mapato

Kujiunga na program ya Maokoto na AFYAColleges

Kama ungependa kunufaika na program hii lakini bado hujajisajili, tafadhali bonyeza link pale inayosomeka jisajili leo.

Ila kama umeshajisajili nikakupa link hii basi,
hongera kwa kuwa mstari wa mbele kutaka kujikwamua kiuchumi. 

Hakika unahitaji pongezi kwani vijana wengi wamekuwa wakipishana na maendeleo kwasababu ya kutokuweza kutambua fursa na kuchakarika mapema.

Kujiunga na program ya AFYATech kuwa mtoa huduma ya vifaatiba inatufanya tukuwe pamoja. 

Wewe ukinufaika kwa elimu na ujuzi wa ujasiriamali pamoja na kujenga uaminifu kutoka kwa wenzako,. 

Pamoja tunanufaika kiuchumi na kutengeneza mtandao wa pamoja wa maisha ya kila siku. 

Hivyo kutengeneza fursa ya kuweza kufanya vitu vikubwa pamoja siku za usoni. Wazungu wanaweza, sisi hatuwezi kwanini?

Kwahiyo, mimi Dr. Adinan nakukaribisha kwa moyo mkunjufu. na kukufahamisha hatua ya mwisho ya kukailisha mchakato wa kuweza kuanza kuingiza kipata hata sasa hivi.

Hatua inayofata ni kujisajili na kujifunza namna ya kutengeneza link zitakazoonesha wewe ndo umefanya kazi 

Lengo la kujisajili ni kuwepo kwa taarifa zako kwenye website yetu na kujifunza namna ya kutengeneza link kuhakikisha haudhulumiwi.

Kwahiyo, tafadhali bonyeza link hii kujaza taarifa zako fupi kisha tutaendelea.

 https://afyacolleges.org/fursa-ujasiriamali-chuoni-jisajili-sasa/

Anza Sasa kutengeneza pesa. 

Fuata hatua hizi:
1. Bonyeza link hii: https://afyacolleges.org/fursa-ujasiriamali-chuoni-affiliate-dashboard/


2. Bonyeza button iliyoandikwa link generator


3. Nenda kwenye page yetu ya bidhaa


4. Bonyeza bidhaa yeyote unayopendelea mpaka ifunguke iwepo yenyewe kwenye page


5. Kopy URL / link pale juu


6. Anza ku-share – Watumie marafiki kupitia sms, whatsapp, weka status, Paste kwenye social media yeyote kama vile facebook, instagram nakadhalika.

I👉kiwa utakwama tafadhali tizama video hapo chini

Najuaje kiasi cha pesa nilichotengeneza?

7. Kujua wanagapi waliiitikia, ingia kwenye dashboard yako tena
10. Angalia wangapi waliikuwa na kununua
11. Bonyeza button ya Commission – Utaona commission yako kwa uwaaazi!

https://youtu.be/ZUDInAikaYY

Fursa Inakusubiri

Jisajili Haraka na AFYATech-HES!

Usikose fursa hii ya kipekee! Bonyeza hapa kujisajili na uanze safari yako ya mafanikio katika ujasiriamali wa afya na AFYATech-HES sasa hivi!

  Jisajili Leo!
Shopping Basket