Mawasiliano
Ungependa kufahamu vyuo bora vya afya, namna ya kuomba, vifaabora vya mafunzo, au kingine chochote?
Tafadhali, usisite kuuliza chochote kadiri unavyoona unahitaji ufahamu. *Dr. Adinan J* na timu yangu tutakujibu bila kuchoka.
Unaweza kutupigia simu, kututumia Ujumbe kwa WhatsApp au kujaza fomu au E-mail.
Anuani
Chumba namba B8, Sundown Complex, Moshi CBD, Kilimanjaro
Simu
+255 -783 552 959
Barua Pepe
info@afyacolleges.com