Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
BP Machines, Manual BPM, Vifaa vya mafunzo kozi za afya
Aneroid BP Machine
TZs65,000.0
Mwanafunzi kwenye kozi za afya na unahitaji vifaa bora kwa mafunzo yako? Tena vyenye warranty mpaka umalize chuo? Leo tunakupatia BP Mashine kwa ajili ya kupimia presha ya damu ya mteja wako.
Kifaa hichi ni muhimu kwa wanafunzi kwenye fani za afya na wahudumu wa Afya.
Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Huna hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Availability: 44 in stock
SKU: BPAN02
Categories: BP Machines, Manual BPM, Vifaa vya mafunzo kozi za afya






Reviews
There are no reviews yet.