fbpx

Fetoscope: Pinard Stethoscope

Sh19,000.0

Fetoscope  ni kifaa kinachotumika kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto kabla hajazaliwa. Kifaa hiki hutumika na watoa huduma za afya kufahamu hali ya mtoto akiwa tumboni. 

Matumizi: Kifaa hiki ni muhimu kwa mafunzo kwa wanaosomea masomo ya udaktari, uuguzi na ukunga pamoja na watumishi wa afya ya jamii.

Aina: Kifaa hiki hupatikana katika hali ya mbao au plastiki. Vyote hufanya kazi sawa.

Availability: 271 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

You may also like…

Shopping Basket