fbpx

Medical coat

Sh50,000.0

Faida: Unapovaa medical coats za HES unakuwa na Muonekano Smart. Si tu uaminifu wa wagonjwa kwako unaongezeka wanapohudumiwa na daktari / mhudumu aliye smart, bali pia koti hili lina kulinda na magonjwa pale unapokuwa una muhudumia mgonjwa wako.

Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Bei nafuu. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

 

Matumizi: Medical coats hutumiwa na daktari, mtaalamu wa maabara, mfamasia, wataalamuu physiotherapia na wanafunzi katika kozi mbalimbali za afya.

Availability: 16 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping Basket