kozi ya radiology husaidia kufanya uchunguzi wa XRays

Kozi ya Medical Radiology Tanzania: Sifa, Vyuo (Serikali & Private)

Kozi ya Radiology (Uradiolojia) ni moja ya kada adimu na zenye soko kubwa la ajira nchini Tanzania. Wataalamu hawa (Radiographers) ndio wanaohusika na picha za X-ray, Ultrasound, CT-Scan, na MRI ili kusaidia madaktari kugundua magonjwa. Ikiwa unatafuta vyuo vinavyotoa kozi ya radiology Tanzania na sifa zake, mwongozo huu utakupa majibu yote, ikiwemo location za vyuo […]

Kozi ya Medical Radiology Tanzania: Sifa, Vyuo (Serikali & Private) Read More »